Historia imeandikwa hapo jana Septemba 18 katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro baada ya msimu wa Fiesta kupita mkoani hapo na kuwadondoshea bonge moja la burudani wakazi wa mkoa huo.
Perfect255 inakuletea picha za baadhi ya matukio ambayo yalikuwa yakiendelea katika show hiyo hapo jana.