Fido Vato ft Chidi Benz – Target

Target ndio jina la joint mpya ya “Fido Vato ft Chidi Benz”, produced by @defxtro @noizmekah na video shot by P FUNK Majani @majani187 #aMajaniFlick @bongorecordsltd na Kama kawaida Muzikizaidi kazi yetu ni ku-Support Good Music, Pia unaweza stream “TARGET” On youtube na streaming Platforms zote duniani. Dont forget ku-Like, also Comment na pia ku-Subscribe kwenye social networks zote,ikifaa pia ruksa ku-share Mp3 Audio Download link all over your socials wajue #muzikizaididotcom tunaipeleka #AfrikaDuniani https://bit.ly/FidoVatoChidiBenz-Target

743 Downloads