Mwafrika Entertainment inakusogezea project mpya toka "MATAITAZ MUSIC" na hapa ni kwamba Mwaka 2026 unafunguka kwa Chalii mtoto wa bibi...
Machalii Watundu wanafungua 2026 na "FBI", Trap Dancehall genre, ikiwa ni production toka @noizmekah studios Arusha chini ya @defxtro na...
















