Msanii na mhubiri wa injili “Nay Lukumay” anakusogezea wimbo mwingine kwa jina la “Fumbo“, ikiwa ni kazi toka Noizmekah studios, jijini Arusha, chini ya mtayarishaji Defxtro. Wimbo huu ni mahususi kuwafariji watu wote wenye kupitia changamoto mbalimbali katika maisha ya dunia hii. PAKUA MP3 HAPA: https://muzikizaidi.com/fumbo
Wimbo unaelezea ni jinsi gani Mungu yu tayari juu yetu kila wakati tunapo onyesha kumtegemea na kumtumainia kweli, Mitihani ya dunia ni sehemu ya binadamu kutambua uwepo wa Roho mtakatifu. Mungu pekee ndiye mwenye ufumbuzi wa kweli juu ya “FUMBO” lako, chukua dakika kadhaa kusikiliza wimbo huu, support, like , share, comment and subscribe social pages za “Nay Lukumay” na ukapate kubarikiwa leo na hata milele.



