Chalii mtoto wa Bibi ft Machalii Watundu & YOG – Chogo

Mwafrika Entertainment inakusogezea project mpya toka “MATAITAZ MUSIC” na hapa ni kwamba Mwaka 2026 unafunguka kwa Chalii mtoto wa bibi akiwa na Machalii watundu kwenye amapiano Vibe, Jina la goma ni “CHOGO“.

Ikiwa ni mkono wake producer mkali toka pande za Grandmaster records anayejulikana kama “DJ Kass”. Pia katika ngoma zinaskika sauti za mkali Y.O.G toka studio za Grandmaster, Ngarenaro Arusha.

Kama ilivyo kawaida ya Ma-Emcee wa Kaskazini, humu ndani ipo michano ya kila aina ikiwemo ucheshi kudhihirisha Umoja na Upendo baina ya wasanii Wa KILA RIKA, sikiliza dude kisha support kwa kusambaza LINK kila pande, Muzikizaidi ipo kwaajili ya Sanaa ya Afrika

Share: