Bei ya Trump Sneakers Zaidi ya Milioni moja TZS

Bei ya Trump Sneakers Zaidi ya Milioni moja za kitanzania na when Trump approached the Sneaker Con stage pale Los Angeles California siku ya Saturday he was met with both boos and cheers some even brandishing signs that read “SNEAKERHEADS LOVE TRUMP.” Team Trump walitangaza sneakers hizo kuitwa “The Never Surrender High-Top Sneaker,” kwa bei ya $399 pamoj na pair zingine za low-top athletic shoes pamoja na $99 bottle of “Victory47” perfume na cologne.

Sneaker za TRUMP zina Bendera ya America on the back na LOGO KUBWA ya “T” on the side and according to the website wSneaker hizi ni limited to 1,000 pairs each numbered and autographed by Trump mwenyewe

“nataka kuwaambia, I’ve wanted to do this long time,” Trump alisema akionyesha the shoes. The announcement of Trump’s new shoe line lilikuja muda mfupi tu baada ya judge toka New York kuamuru Trump and his company kulipa faini $355 million, finding that the former president alidanganya about his wealth for years, alipanga njama za kutapeli mabenki, insurers and others kwa kuzidisha uhalisia wa utajir wake kwenye financial statements.Mbali na pilika za mahakama, alisema “I have some incredible people that work with me on mambo mengi, and they came up with this SNEAKER , and this is something I’ve been talking about for 12 years, 13 years, and I think itakuwa a big success,”