MREMBO HUDDAH ADATA NA PENZI LA MANGI WA KILIMANJARO “DANFORD KESSY”.

Haya jamani yule Sosholaiti wa Kenya kazama kwa Mchaga wa Kishumundu (Sina uhakika). Kaka huyo ajulikanaye kama Danford Kessy amemteka mrembo huyo ambaye amekiri kuwa ni muda mrefu amekuwa akijilinda lakini sasa amefika bei kwa Mkaka huyo Handsome
Tazama Picha ya mwanaume huyo hapa:

Story By:@Joplus_
Source: Udaku Special Blog.