LINAH – RAHA JIPE MWENYEWE (OFFICIAL VIDEO).

Linah ameachia video ya wimbo wake ‘Raha jipe mwenyewe’, Hii inakuwa video ya pili tunamwona mshindi wa Big Brother 2014 na mchekeshaji, Idirs Sultan.

Video ya kwanza staa huyo kutokea ilikuwa ‘Wanjera’ ya Ommy Dimpoz. Video hii imeongozwa na director, Khalfani Khalmandro.

Story by:@ Joplus_

Source: Perfect255.com

Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Post Type Selectors
muzikizaidi
Author: muzikizaidi