
Mwaka 1995 mwezi wa tatu kulikuwa nampiga picha mmoja aliyekuwa akijulikana kama Gobi. M. Rahimi alikuwa ndio mpiga picha aliye mpiga 2pac mpaka siku ya kifo chake kinatokea, Mpiga picha huyo ameamua kutumia fursa hiyo ya kumkumbuka msanii huyo ikiwa ni miaka 20 tangu kifo chake kitokee, Rahimi ni moja ya wapiga picha ambao wanafanya kazi ya kutengeneza frame za picha katika mtandao wa Sonic Editions website, na hii inaweza kuwa opportunity ya kuingiza mkwanja kupitia picha hizo.
Picha hizo zilizopigwa na Gobi, ni picha ambazo zimechezza kwenye miaka ya 94 wakati 2Pac anaperforme Chikago na zingine ilikuwa ni mwaka 1995.
Story By:@Joplus_
Source: Perfect255.com