VIDEO: DJ KHALED AWAFANYIA SURPRISE MASHABIKI ZAKE WA NEW YORK.

Dj Khaled ameamua kuwasuprise mashabiki wake wa jiji la New York kwa kujifanya dereva taxi kwa kuwachukua wateja na kuwapeleka mpaka mahala wanapotarajiwa kufika.

Sasa kupitia huduma ya kuita gari ya Lyft ambayo inataka kufanana na Uber, ilimchukua Dj Khaled akiwa kama dereva na kuwabeba abiria ndani ya gari huku akiwa anachonga nao stori mbili tatu, baadhi ya abiria waliwahi kumtambua kwa haraka na wengine ilikuwa ngumu kumtambua kutokana na uvaaji wake wa miwani na kofia flani hivi.

Story by:@Joplus_

Source: Perfect255.com