“BONGO DAR-ES-SALAAM” YA DUDE KURUDI KIVINGINE OCTOBER 2016.

NI Sept 20, 2016 ambapo msanii kutoka Bongo Movie, Dude amefunguka kuhusu maandalizi ya kuirudisha kipindi cha Bongo Dar es Salaam katika luninga.

Akiongea na millardayo.com & Ayo TV staa huyo alisema…>>>Kwanza nilikuwa najaribu kufanya mazungumzo na wamiliki wa vituo vya luninga ili niweze kurusha kipindi changu cha Bongo Dar es Salaam na sio kama nahitaji pesa nyingi sana lakini nahitaji aghalau nirudishe maandalizi ya kazi yangu’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Dude kuhusu Bongo Dar es Salaam

Story By: @Joplus_
Source: Millard Ayo