Diamond Platnumz ameingia kwenye headlines tena baada ya kupost nyumba kwenye instagram yake leo September 23 2016 ambayo ni siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake Zari ambayo amemfanyia kama suprise aliyomnunulia nchini South Afrika, na kuweka caption nzito na hivi ndivyo alivyotiririka.
>>’They are busy bragging them selves that they are Rich while their Kids staying in the Renting House… and today a person that, they are daily abuse and saying that he’s broke & Poor Bought a House, so that their Kids can have a better life, as they always wish on Social Media….. Happy Birthday Mama tee i hope you like our new South African House….Can’t wait for your Big weekend in Zanzibar tomorrow….I love you So much mama tee, we ndio Salome wa Moyo wangu pekee @zarithebosslady 😙🌷🎉🎂🎂🎉🌷 (Wanakazana kujisifu Matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga… halaf leo yuleyule wanaemtukana kutwa kwenye Mitandao kuwa Masikini, kajawa na shida, Kanunua nyumba kulekule kwao ili watoto wao waishi Maisha bora kama wanayoyatamani… Heri ya siku ya Kuzaliwa Mama tee wangu…. Nakupenda sana na unalifahamu hilo…natumai umeipenda Nyumba yetu hii mpya South Africa… nasubiria kwa hamu kusheherekea nawe siku yako hii kubwa kesho zanzibar….😙🌷🎉🎂🎂🎉🌷)@VodacomTanzania#VodacomKaziNiKwako#VodacomHapaKasiTu’
Story By: Joplus_
Source: Millard Ayo