Bongo fleva Diva Linah Sanga ameanza kutayarisha video mpya ya wimbo wake ‘Raha Jipe Mwenyewe’ akiwa na Director Khalfani.
Kutokana na picha na video clip za behind the scene, Linah yupo na Idris kwenye eneo wanalofanyia video hii pamoja na Director Khalfani .
Story By:@Joplus_
Source: Sam Misago.