KING KIBA APATA SHAVU MTV AFRICA MUSIC AWARDS 2016.

Meneja wa RockStar 4000 Seven Mosha amethibitisha kuwa msanii wao The King Ali Kiba atafanya show kwenye usiku a Tuzo za MAMA ‘MTVAfrica Music Awards 2016‘.

Show Hii itafanyika 22, October, 2016.

kiba-mtv

Story by:@Joplus_

Source: Sam Misago.