SITAKI KUITWA RAPPER ”DESIIGNER WA GOOD MUSIC”

Staa wa G.O.O.D Muisc Designer amefunguka nakusema hataki kuitwa RAPPER ila anapendelea aitwe Msanii Tu yani ARTIST.

Designer amesema “Sina rafiki ambaye ni rapper, wasanii wote ambao niko nao ata GOOD Music ni wasanii tu sio Rappers

Je kunatofauti, ndio ipo RAP inahitaji vitu vitatu vikubwa ambavyo ni ‘Content’ , ‘Flow’, na ‘Delivery’ ila kuwa msanii kuna kuja na mambo mengi ya sanaa ,ubunifu, muziki na mitazamo tofauti.

Story By: @Joplus_

Source:Sam Misago