MASAI WA KIGOMA – SINASI (OFFICIAL AUDIO-SINGELI).

Kama jina lake linavyo sound, anadai kuwa yeye ndiye mmasai wa kwanza kuimba Kisingeli.

Anatoka chini ya Uswahilini Music Fleva ya Kicheko raisi wa Uswazi, na hii ni mpya kutoka kwa Masai wa Kigoma. Inaitwa “Sinasi” Enjoy nayo

Story by:@Joplus_
Source: Perfect255.com