NIKKI WA II NA MASWALI KWENYE BASI LA FIESTA.

Ni kutoka kwenye basi lililobeba Wasanii wa bongofleva wakiwa safarini kwenye show za FIESTA 2016, tamasha ambalo linafanyika kwenye mikoa mbalimbali Tanzania sasa hivi.

Kwenye basi la Wasanii utajionea maongezi yao mbalimbali wakizungumzia ishu za kimaisha, kuuliza maswali, wakicheka pamoja na kuongelea mengine mengi kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini.

Story by:@Joplus_
Source: Millard Ayo.