CASSPER NYOVEST APOST PICHA YA UTUPU AKITANGAZA SHOO YAKE.

Rapa kutoka Afrika Kusini Cassper Nyovest Working anajitayarisha kufanya show nyingine kubwa kama ya mwaka jana alivyovunja rekodi kwa kujaza ukumbi wa The Doom na watu 20000. 

Mwaka huu Cassper anataka kujaza watu 40000 kwenye uwanja wa mpira wa Orlando Stadium kupitia show yake  ya  #FillUpOrlandoStadium.

Cassper ameanza mazoezi ya kupunguza mwili na kuwa fiti zaidi kwashow kubwa na ndefu kwenye maisha yake. Hii picha imeteka vichwa vya habari Afrika Kusini.

cassper-12

Story by: @Joplus_

Source:Sam Misago.