Joh Makini ameingia studio na mwanamuziki wa Nigeria, Falz aliyeshinda tuzo ya BET mwaka huu kwenye kipengele cha ‘Viewers choice ‘
Joh Makini amemshirikisha Falz kwenye wimbo wake mpya alioupa jina la ‘Acha nikupende’
“KITU!! #TzNigeriaCollabo It’s a wrap #AchaNikupende feat.@falzthebahdguy beat by @kingluffa #wanenestudios #switchRecords
#GODENGINEERING,” ameandika Joh kwenye Instagram.
Siku chache zilizopita, Falz aliiambia Perfect255 mpango wa kurekodi ngoma mpya na Joh Makini,
Wawili hao pia wameshirikiana kwenye kwenye msimu wa nne wa Coke Studio Afrika.
Story by:@Joplus_
Source:Perfect255.com