SHILOLE ATOA MPYA KWENYE BASI LA FIESTA

Tamasha la FIESTA 2016 lipo kwenye ziara yake ya kutembea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo moja ya vitu ungependa kuona ni jinsi Wasanii wanavyosafiri pamoja kwenye basi na maongezi yao wakati mwingi.

Wakati FIESTA ikisubiriwa Jumamosi ya kesho hapa Shinyanga uwanja wa nje wa Kambarage, nakusogezea huu utani kutoka kwenye basi la Wasanii ambapo Shilole kwa utani kuna swali aliuliza kuhusu Wanaume wake alafu Christian Bella akamtaja Nuh Mziwanda ambaye ni mpenzi wa zamani wa Shilole.@Joplus_

kilichotokea kiko hapa chini kwenye hii video


Source Millard Ayo