Ni Mwigizaji kutoka Bongo Movie, Shamsa Ford ambae leo September 2, 2016 ameandika ukurasa mpya kwenye maisha yake baada ya kufunga ndoa na mchumba wake aitwae Rashid. Sherehe hiyo ilhudhuriwa na watu maarufu wakiwemo wasanii mbalimbali wa Tanzania.@Joplus_
Hizi ni picha kutoka kwenye eneo la tukio Sinza Mabatini nyumbani kwa wazazi wa Shamsa Ford