Baada ya kimya kirefu cha kolabo hiyo, sasa umefika wakati wa kutengeneza kichupa cha nyimbo iliyowakutanisha mastaa hao.Video imefanyika jijini Los Angeles, Marekani. Wimbo huo ulirekodiwa kitambo baada ya Diamond kumfuata Ne-Yo Nairobi alikoenda kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika, msimu wa tatu.
Source:Udaku Special Blog
Baada ya hapo wawili hao walikutana tena Marekani kumalizia baadhi ya vipande. Mwezi May, Ne-Yo na Diamond waliuimba wimbo huo pamoja kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwenye tamasha la Jembeka.@Joplus_
Tazama Video Hapa: