SHOO YA DIAMOND NA ALIKIBA HUKO MOMBASA YAMKERA SALLAM.

SALLAM

Kwa post hii ya meneja wa Diamond ni dhahiri hakufurahishwa na kitendo cha Alikiba kitokea kwenye show ambayo Diamond ndiye alikuwa msanii official.

suprise

Inavyoonekana alikiba alijua uwepo wa Diamond ila diamond hakujua kama alikiba angekuwepo.

Hii imekuwa show ya kwanza kwa diamond na alikiba kukutana kwenye jukwaa moja nje ya nchi.

suprise2

Sallam ameandika maneno hayo hapo juu akionyesha hakupendezwa na kile kilichofanywa kwenye tamasha hilo(Na waandaaji).
“PALE UNAPOKUWA HUWEZI KUWAFANYA MASHABIKI KUJA UNAGEUKA SUPRISE ARTIST(MSANII WA KUSHTUKIZA)”.
Yanamaanisha hivyo sehemu ya hayo maneno.

Story by:@Joplus_

Source:Perfect255.com