KAULI YA T. I. D “NIMEMKAZA WEMA SEPETU” YAWAKERA MASHABIKI USIKU WA RnN

Katika usiku wa RnB ulioandaliwa na the Bridge show ya mlimani TV, line up ya wasanii kadhaa iliperform lakini mnyama TID ambaye amekwisha kutajwa kama moja ya mastaa waliowahi kudate na Wema Sepetu alisuprise sana watu kwa kitende cha kujisifu jukwani kwamba amewahi kumkaza msanii wa bongo movie Wema sepetu kitendo ambacho kilifanya baadhi ya mashabiki kujisikia vibaya na kuanza kumzomea.
na kuanza kumzomea.
Story by:@Joplus_
Source:Udaku Special Blog.