HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWENYE BIRTHDAY YA HARMONIZE WA WOLPER.

Jumanne hii ni birthday ya mkali wa wimbo ‘Matatizo’, Harmonize ambapo mastaa mbalimbali pamoja na mashabiki wake katika mitandao ya kijamii wamem-wish kwa kumtakia heri na mafanikio katika maisha yake.

Kwa upande wa malkia wa filamu, Jacqueline Wolper ambaye ni mpenzi wa staa huyo, ameonyesha maandalizi ya kitanda chache kilichopambwa na madola pamoja na keki kwa ajili ya mpenzi wake huyo ambaye leo hii ametimiza miaka kadhaa.

Story by:@Joplus_
Source: Udaku Special Blog