LULU:NIPO TAYARI KUWA NA MTOTO KWA WAKATI HUU.

Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth ‘Lulu ‘ Michael amedai kuwa anahitaji mtoto kwa sasa.
Muigizaji huyo ameandika ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagram akimuomba Mungu huku akidai kuwa yupo tayari kwa sasa na anahitaji mtoto.“Okay…I’m ready noooowand I want a Baby BoyIn Jesus Name,” ameandika Lulu kwenye mtandao huo.
Kwa sasa muigizaji huyo yupo kwenye mahusiano na bosi wa EFM, Majay.

Story by:@Joplus_

Source:Raha za walimwengu.