SNAP CHAT YAMPONZA DJ KHALID WAKATI WA PERFORMANCE YA USHER.

 Snapchat za Dj Khaled zimemtokea puani baada ya kudondoka jukwaani.

Mambo yamekuwa si mambo kwa Dj Khaled baada ya kudondoka jukwaani wakati anamrekodi Usher alipokuwa anaperforme katika jukwaa la Beyonce’s Formation Tour huko jijini Atlanta.

Story by:@Joplus_

Source: Perfect255.c0m