FEZA KESSY AFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE YA KIMAPENZI NA CHID BENZ.

Mrembo kutoka Bongoflevani Feza Kessy ambaye ameshawahi kuzichukua headlines baada ya kushiriki shindano la Big Brother Africa leo October 1 2016 amejibu taarifa iliyokuwa ikimuhusisha Mrembo huyo kutoka na Mkali mwingine anayefanya vizuri kwenye midundo ya Hiphop Chid Benz, haya ndio yalikuwa majibu ya Feza Kessy kuhusu kuwahi kuwa na mahusiano na rapper Chid Benz.

Hata mimi nilisikiaga hizo taarifa lakini sio ukweli Chid Benz ni mshikaji wangu sana maana hata juzi nimetoka kuongea nae kwenye simu‘>>> Feza Kessy

Story by:@Joplus_
Source: Millard Ayo