Ni Headlines za msanii kutoka Bongoflevani, Barnaba ambae katuletea hii video mpya ya single yake iitwayo Lover Boy’, video hiyo imetayarishwa South Africa na director Travel kutoka Kwetu Studio.
Story By:@Joplus_
Source: Raha za walimwengu.
[variable_1] has subscribed muzikizaidi [amount] minutes ago.