DIAMOND: “WATOTO WANGU WATAISHI SOUTH AFRIKA BAADAE”

Sept 23, 2016 Diamond Platnumz alikuwa gumzo kwenye blogs mbalimbali na mitandao ya kijamii baada ya kupost Nyumba ambayo aliandika kuwa ni zawadi kuwa Mpenzi wake Zari.

Baada ya Diamond Platnumz kupost Nyumba hiyo ambayo iko South Africa zikapita siku saba na akafanyiwa mahojiwa na kipindi cha Weekend Chat Show cha Clouds Tv na kazitaja Gharama alizonunulia Nyumba hiyo.

DIAS

Sasa basi.. Msanii wa muziki wa Bongo Flava Naseeb Abdul ‘Diamond’ ametoa sababu ya kununua nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 400 Afrika kusini, ni kwa sababu watoto wake wataishi nchini Humo.

princess_tiffah-20161003-0001

Akiongea kupitia kipindi cha The playlist cha Times Fm Juzi Jumamosi, Chibu amedai familia yake itaishi kwa Madiba kwa muda kadhaa.

“Watoto wangu wataishi Afrika kusini mpaka hapo baadae”. Alisema Diamond

Story by:@Joplus_

Source: Perfect255.com