RAYMOND, VANESSA MDEE NA YAMOTO BAND WAUNGANA NA ALIKIBA KUIWAKILISHA BONGO KUWANIA TUZO ZA MTV MAMA 2016.

Ilikuwa Sept 21, 2016 majina ya mwanzo ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016 yalitajwa huku Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na kundi la Navy Kenzo pamoja na Alikiba ndio wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo kubwa za Africa za MTV Africa Music Awards 2016.

Sasa basi.. Good news nikwamba jana Oct 2, 2016 MTV MAMA 2016 wametaja majina mengine ya wasanii watakaowania tuzo hizo ambapo kwa upande wa Tanzania wameongezeka wasanii watatu akiwemo Raymond wa WCB, Vanessa Mdee na Yamoto Band.

CtyeJT0WcAAQai6

Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo hizo katika kipengele cha Artist of the Year ambacho anachuana na Black Coffee (South Africa), Sauti Sol (Kenya), Yemi Alade (Nigeria), Wizkid (Nigeria).

Mara ya kwanza Diamond Platnumz alitajwa kuwania kipengele cha Best Male ambacho anachuana na Black Coffee (South Africa), Wizkid (Nigeria), AKA (South Africa), Patoranking (Nigeria).

CtydVJvXEAA2y7p

Vanessa Mdee anawania kipengele kimoja
cha Best Female ambacho anachuana na Josey (Ivory Coast) , Mz Vee (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria), Yemi Alade (Nigeria).

CtygyPdW8AALabA

Alikiba ametajwa kwa mara ya pili kuwania
kipengele cha Song of the Year kupitia wimbo aliyoshirikishwa na Sauti Sol uitwao Unconditionally Bae.

Ctysp5VWgAA3v8K

Kenya imewakilishwa na kundi la Sauti Sol katika kipengele cha Song of the year na Artist of the year pamoja na Kansoul kwenye kipengele cha Listerners Choice Awards.

Huku Uganda ikiwa imewakilishwa na wasanii wawili ambao ni Eddy Kenzo anayewania kipengele cha Best Live Act pamoja na Sheeba anayewania kipengele cha Video of the Year.

Ctyazk3W8AA_XN0

Raymond wa WCB ametajwa kuwania kipengele
cha Best Breakthrough Act ambacho anachuana na Babes Wodumo (South Africa), Emtee (South Africa), Falz (Nigeria), Franko (Cameroon), Nasty C (South Africa), Nathi (South Africa), Simi (Nigeria), Tekno (Nigeria), Ycee (Nigeria).

DEYA

Yamoto Band wametajwa kuwania kipengele cha Listener’s Choice Awards ambacho wanachuana na Burna Boy (Nigeria), Adiouza (Senegal), Kansoul (Kenya), Meddy (Rwanda), Prince Kaybee (South Africa), Zaho (Algeria), Kiss Daniel (Nigeria), E.L (Ghana), Bebe Cool (Uganda), Latifa (Tunisia), Saad Lamjarred (Morocco), Tamer Hosny (Egypt), Jay Rox (Zambia), The Dogg (Namibia), Sidiki Diabate (Mali), Adiouza (Senegal), Den G (Liberia), Jah Prayzah (Zimbabwe), LIJ Michael (Ethiopia), Messias Maroca (Mozambique).

Hivi ndio vipengele 7 vipya vya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016, Jumamosi ya 22 October 2016 kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome Afrika Kusini.

1-BEST BREAKTHROUGH ACT

Babes Wodumo (South Africa)
Emtee (South Africa)
Falz (Nigeria)
Franko (Cameroon)
Nasty C (South Africa)
Nathi (South Africa)
Raymond (Tanzania)
Simi (Nigeria)
Tekno (Nigeria)
Ycee (Nigeria)

2-BEST FRANCOPHONE

Franko (Cameroon)
J-RIO (Gabon)
Magasco (Cameroon)
Serge Beynaud (Ivory Coast)
Toofan (Togo)

3-BEST FEMALE

Josey (Ivory Coast)
Mz Vee (Ghana)
Vanessa Mdee (Tanzania)
Tiwa Savage (Nigeria)
Yemi Alade (Nigeria)

4-ARTIST OF THE YEAR

Black Coffee (South Africa)
Diamond Platnumz (Tanzania)
Sauti Sol (Kenya)
Yemi Alade (Nigeria)
Wizkid (Nigeria)

5-SONG OF THE YEAR

Sauti Sol & Alikiba (Kenya/Tanzania)
Franko (Cameroon)
Babes Wodumo ft Mampintsha (South Africa)
AKA, Burn Boy, Khuli Chana & Yanga (South Africa)
Dj Maphorisa ft Wizkid- Soweto
Patoranking ft Wande Coal (Nigeria)
Emtee ft Wizkid & AKA – Roll up
Kwesta ft Cassper Nyovest (South Africa)
Korede Bello (Nigeria)
Harrysongz ft Olamide, Kcee, Iyanya, Orezi (Nigeria)
Olamide (Nigeria)

6-VIDEO OF THE YEAR

Anatii & Cassper ft Nasty C (South Africa)
PhFAT ft Al Bairre (South Africa)
Tiwa Savage (Nigeria)
Sheeba (Uganda)
Youssoupha (Congo)

7-LISTENERS CHOICE AWARDS

Burna Boy (Nigeria)
Adiouza (Senegal)
Kansoul (Kenya)
Meddy (Rwanda)
Yamoto Band (Tanzania)
Prince Kaybee (South Africa)
Zaho (Algeria)
Kiss Daniel (Nigeria)
E.L (Ghana)
Bebe Cool (Uganda)
Latifa (Tunisia)
Saad Lamjarred (Morocco)
Tamer Hosny (Egypt)
Jay Rox (Zambia)
The Dogg (Namibia)
Sidiki Diabate (Mali)
Adiouza (Senegal)
Den G (Liberia)
Jah Prayzah (Zimbabwe)
LIJ Michael (Ethiopia)
Messias Maroca (Mozambique).

Story By:@Joplus_

Source: Perfect255.com