INTERVIEW YA TREY SONGS CITIZEN TV KENYA YAWAVUTIA MASHABIKI WENGI WA MUZIKI.

Nafahamu kuna watu wangu ni mashabiki wa mastaa wa mziki wa nje, nikiongelea mastaa kama Beyonce, Jay Z, Justin Beiber, Rihanna na wengine wengi ambapo staa Trey Songz kwasasa yupo nchini Kenya kwa ajili ya kufanya collabo na wasanii wa tofauti kutoka Afrika na miongoni mwao kuwa mtanzania Vanessa Mdee kwenye msimu wa 4 wa Coke Studio.

Ukiachia mbali Coke studio kituo cha TV cha Citizen nchini hapo kiliweza kumsogeza kwenye meza yao na kufanya nae interview, well kama uliikosa kuangalia interview nakusogezea video hapa chini mtu wangu kujua vitu alivyongelea staa huyo kutoka Marekani, Tremaine Aldon Neverson, mkimfahamu kama Trey Songz

Story By:@Joplus_
Source: Millard Ayo