ALICIA KEYS KUACHIA ALBUM YAKE MPYA ALIYOIPA JINA ‘HERE’.

Alicia Keys is HERE, ametangaza jina na tarehe atakayoachia album yake mpya.

Alicia keys ametanga kuwa album yake ya sita baada ya Girl on Fire iliyotoka mwaka 2012 itaitwa HERE na kuanzia tarehe 4 mwez Novemba album hiyo itakuwa tayari kwa Pre-order.

Album hiyo itakuwa na nyimbo 16, huku ikiwa na nyimbo kama  “Blended Family (What You Do for Love)” aliyomshirikisha A$AP Rocky.

Story B:@Joplus_

Source: Perfect255.com