BILLNASS AFUNGUKA KUHUSU BIFU YAKE NA DIVA THE BAWSE.

Kama utakuwa mfuatilia wa stori za mastaa hivi karibuni kulitokea kutoelewana kati ya Billnass na Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness aka Diva The Bawse.

Sasa leo Sept 20, 2016 Billnass ameipata heshima millardayo.com & Ayo TV kueleza jinsi ilivyokuwa mpaka kumaliza tofauti zake na kuyaongea haya>>>Issue ilitokea baada ya kuandikwa kwenye magazeti stori yenyewe mimi sijaisoma niliiona kupitia mtandao wa Instagram na  nakumbuka ile siku nilipokuwa naelekea Clouds FM nikakutana na Diva  nikaeleza ukweli wa hali halisi ilivyokuwa na mwisho tukayamaliza’

Story by:@Joplus_

Source: Millard Ayo