KAULI YA ZARI THE BOSS LADY YAGUSA WENGI.

13473233_1038149699609048_130695774_n
Dunia hii kwa kuwa hatuijui kesho,inabidi tujifunze kuheshimu watu ambao pamoja nasi,Watu ambao wapo tayari kusimama kwaajili yetu kwa lolote lile. Natukaacha kuwapa kupaumbele watu ambao ni wapita njia (wa kupita njia)tu katika maisha yetu, au ambao wamekuwepo lakini hawajawahi kuchangia au kuwa na msaada wowote kwenye mafanikio yetu.

Story By:@Joplus_
Source:Raha za walimwengu