TID FT JOH MAKINI – CONFIDENCE (OFFICIAL VIDEO).

Ni video mpya ya msanii TID iitwayo Confidence ambayo amemshirikisha rapper Joh Makini, video imeongozwa na director Travel wa kwetu Studios.ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

Story By:@Joplus_

Source: Millard Ayo.

Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Post Type Selectors
muzikizaidi
Author: muzikizaidi