Rapper YCEE kutoka nchini Nigeria ambaye anazichukua headlines kwenye mdundo wake wa , ‘Omo alhaji’ mdundo ambao umemshirikisha hitmaker wa mdundo wa ‘Bobo’ Olamide, YCEE yuko nchini  Tanzania anafanya Media Tour, na amemtaja msanii wa bongo anayemkubali kwenye interview ya On Air with Millardayo.Â
Msanii huyu ameipa heshima na alitembelea TZA kwenye studio za Millard Ayo na kufanya Interview ambayo aliongelea short history yake tangu anze game, maana ya jina lake YCEE, anachofanya nje ya box yani nje ya sanaa ya muziki katika maisha ya kawaida na pia amemtaja msanii anaemkubali kutoka nyumbani Tanzania.@joplus_