INTERVIEW YA PREZZO YAVUNJA NDOA

Taarifa za blog za udaku Kenya zinasema mtangazaji Betty Kyallo ametengana na mpenzi wake Dennis Okari baada ya uvumi kusambaa kuwa anatoka na Prezzo.
Siku chache nyuma Prezzo na Dennis Okari walitukanana twitter baada ya Prezzo kuonyesha tabia ambayo ilitafsiriwa kuwa sio sawa wakati anafanyiwa interview na Betty Kyallo.@Joplus_

Source: www.Rahatupu.us