FETTY WAP AIBUKA MAHAKAMANI NA MILIONI 300 KULIPA FAINI YA LAKI 7.

Akaunti ya Fetty wap inaonekana si haba ndio maana hana shida kutembea na dola 165k ambazo ni sawa na Million 360.

Mkali huyo wa ‘Trap Queen’ alitakiwa kuibuka mahakamani ili kulipa faini aliyopigwa kutokana na makosa ya barabarani, Fetty wap alitakiwa kulipa dola 360 ambazo ni sawa na laki 7 za kitanzania.

Story by :@Joplus_

Source: Perfect255.com