“PEST CONTROL” DISS ALIYOIACHIA THE GAME KWA MHASIMU WAKE MEEK MILL.

Rapper The Game anazidi kulipeleka Bifu lake na Meek Mill katika Next level kwakuachia video ya “Pest Control” diss kwa Meek Mill

Sasa The Game ameamua kuachia video ya wimbo ambao aliutoa kama diss kwa Meek Mill, ngoma inaitwa “Pest Control”, kama ulikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa kurasa ya Instagram ya The Game alikuwa akiposti moja ya vipande ambavyo vimeonekeana katika video ya wimbo huo

Story by:@Joplus_

Source: Perfect255.c0m