TUZO YA HESHIMA YA BET HIPHOP AWARDS 2016 YAENDA KWA MKONGWE SNOOP DOGGY.

Tuzo za BET HIPHOP AWARDS  ni tuzo ambazo huwa zinakuja baada ya kumalizika kwa tuzo BET AWARDS na hapo ndipo muziki wa Hiphop unapewa nafasi yake kuwania vipengele tofauti tofauti, Good Newz ni kwamba Uncle Snoop Dogg kwa mwaka huu amejinyakulia tuzo ya Heshima ya “I Am Hip-Hop”  na katika kupokea tuzo hiyo Snoop Doggy aliamua kuwapa moyo wasanii wachanga katika kuisukumu Culture ya Hiphop.

APTOPIX BET Hip Hop Awards

“To all the young rappers in the game, a lot of people don’t understand you. Y’all are misunderstood, I was misunderstood at the beginning So you got to keep pushing, be original and diverse. Hip-hop was created many years ago and it’s taken people so many places. You have to be who you are.”

Kendrick Lamar ambaye naye alichukua tuzo ya Lyricist of the Year, aliamua kutoa heshima yake kwa Snoop Dogg na kufunguka haya

“He mastered the game through tests and challenges that earned him the respect of a college professor, except his game came from the streets, He put (me) on game, so I would avoid the same pitfalls. … Snoop Dogg was the God, and continues to be so.”

Wasanii wengine ambao wariludi na tuzo zao nyumbani siku hiyo ni Fat Joe na Remy Ma waliweza kunyakua tuzo za ya Track of the Year kupitia wimbo wao wa “All The Way up”,  Chance The Rapper naye alirudi nyumbani na tuzo ya Best New Hip-Hop Artist

Story by:@Joplus_

Source:Perfect255.c0m