Ni miezi 4 imepita tangu Audio ya ngoma hii ilipoachiwa. Na ni masaa 4 tu yamepita tangu video hii ipandishwe katika mtandao wa Youtube,
Ngoma inaitwa “Rarua” na Malaika ndio mmiliki wa ngoma hii. Enjoy nayo video yake.
Story By: @Joplus_
Source:Raha za walimwengu.