Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Ivan mtoto wa mwanamuziki wa Hiphop Tanzania Roma Mkatoliki.
Katika kuipa thamani siku hiyo, Roma ameamua kuachia ngoma ambayo inazungumzia maisha ya mtoto huyo. Kama unavyo mjua Roma sio mtu wa mchezo mchezo. Ngoma nimekuletea hapa unaweza kuidownload.
Story By:@Joplus_
 Source: Perfect255.c0m