Msanii wa Bongo Fleva Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa ameingia katika mgogoro na aliyekuwa meneja wake, Petii Man kutokana na madai kuwa Petii Man amekuwa akitumia jina lake vibaya kupiga hela.
Kupitia Instagram ya Nuh Mziwanda ameamua kutoa utetezi wa post yake aliyoitoa kwa ajili ya kumsupport AliKiba kuhusiana na tuzo za Mtv Ema.
Baada ya post hiyo, Nuh ametetea uamuzi wake huo wakumpigia promo Ali Kiba Kwenye page yake ya Instagram ili watu wa vote ashinde tuzo…
Haya hapa maneno yakekwa wote wanaomponda
“Eeeeh bana nasemaje nasaport anaenisaport msinipangie mana inaeezekana hamjui wema wa jamaa kwangu ‘mchizi yupo na roho ya kusema SAWA haijalishi upo kwenye wadhifa gani katika muziki na ndio mana collabo zake nyingi anapiga na wasanii wachanga ‘I salute u Ali n plz let us keep on voting to him Heshima irudi nyumbani”.
Story by:@Joplus_
Source:Perfect255.com