NYOTA NDOGO AKATAA ZAWADI YA GARI TOKA KWA..

Masha ya Mtoto wa Kike huwa yanaweza Kubadilika Faster Kupitiliza na Mara nyingi wanaobadilikiwa na maisha Ghafla na Maisha yao yawe Bora Kupitiliza huwa Wanajisahau walipotoka.

nyota-ndogo

Kwenye Kauli yangu nyingine kwa Mwanamke ambaye una\hangaika na Kutokwa na Jasho kila Siku upate shilingi Elfu 3 tu ili wanao wapate chakula cha kila siku japo Mlo Mmmoja tu, Utajisikia Vibaya sana Kusikia yule Msanii Nyota Ndogo aliyewahi Kufanya kazi za Ndani kwa sasa anakataa Millioni 300 ya Kitanzania anayopewa na Mumewe Shefa la Kizungu.

Well, Nyota Ndogo yuko Copenhagen, Denmark na Mumewe Mdenish aliyemuoa hivi Majuzi na huko Denmark kuna Mambo inabidi Uyajue.

Nyota Ndogo amekataa Gari lenye Thamani ya Millioni 16 za Kenya alilopewa na Mumewe huyo.

nyo2

Kwa mujibu wa Nyota, amekataa gari hilo ambalo alitaka kununuliwa na Mumewe huyo kwa kuwa anayo nyingine ambayo amenunuliwa na kaiacha Kenya na kwa sasa ameamua kuikataa gari yake hiyo na anadhani Kuliko anunuliwe gari hilo ni Bora mumewe huyo amjengee Nyumba Nyali Mombasa kuliko gari la Thamni kubwa hivyo.

Haya hapa chini ni Maneno ya Nyota Ndogo ambayo kwa upande wangu nimeyapigia Mstari:-

“For a few days now, my husband has been so persuasive that he wants to buy a car for me. He’s been insisting that I must have my own car while in Denmark. So, we went to an auto bazaar and he liked a specific model that fetches at Sh16 million.I rejected it!”

“I refused the offer because we had agreed that after 10 years, he would relocate permanently to Kenya. So, I told him instead of buying another car we’d rather put up some rental houses in Mombasa for I already have another car in Kenya that fits all of us well. I also told him that we can buy another house in Nyali. I love my husband and I would never like him to come to Kenya to live in poverty,”  Nyota Ndogo aliiambia  TheStar.co.ke.

Wewe unachukuliaje Hili?

Tuambie kwa Ku comeent hapa Chini:-