KING CRAZY GK – MZURI PESA (OFFICIAL VIDEO).

Kama umedumu na bongofleva kwa kitambo jina la King Crazy GK halitakua jipya kwako na utakua unafahamu kwamba alikua kundi moja la East Coast na kina Ay, MwanaFA na wengine.

Kuitazama video yake mpya bonyeza play kwenye hii video hapa chini na ukishaitazama usiache kutoa comment yako maana GK atapita pia hapa kujua watu wake wameipokeaje.

Story By:@Joplus_
Source:Millard Ayo

Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Post Type Selectors
muzikizaidi
Author: muzikizaidi