DAVIDO – GBAGBE OSHI. (OFFICIAL VIDEO).

Jina lake kwenye passport na na vyeti vingine rasmi linasomeka hivi
David Adedeji Adeleke, Dunia inamtambua kwa kazi nzuri ya muziki anaoufanya, anafahamika kwa jina la Davido.. kichwa kingine kinachoibeba Bendera ya Nigeria kwa kazi ya muziki anaoufanya.

Sasa leo October 4, 2016 ametuletea hii video yake mpya ya single iitwayo Gbagbe Oshi

 Story By:@Joplus_
Source: Udaku Special Blog.