Matokeo ya Urais wa chama cha wanasheria Tanganyika yametangazwa huku Tundu Lissu akiibuka kuwa Rais wa chama hicho baada ya kuwashinda wenzake watatu, Tundu Lissu ataingoza TLS kwa mwaka mmoja
VIDEO: Masha alivyojitoa kuwania Urais TLS, Lissu amwaga sera na wenzake watatu, Bonyeza play hapa chini
source:millard ayo
Â