Vitu 43 ameviongea Ruge Mutahaba kuhusu kuvamiwa Clouds TV

Leo March 20, 2017 kupitia Clouds TV/ FM na Choice FM, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amezungumza kuhusu taarifa zilizosambaa mitandaoni Wikiendi iliyopita juu ya kuvamiwa kwa kituo hicho wakati shughuli za vipindi zikiendelea.

Nimekukusanyia kila kitu alichokizungumza Ruge Mutahaba leo.

Source:millard ayo