FIX – Kombo

Toka K Records anakuja msanii “FIX” na Kombo ni nyimbo yenye maudhui ya kiafrika ambayo inaongelea mapenzi, Inayomsihi mwenza kutomuacha mwenzie Enjoy #Kombo produced by Zungu Beats